Redsan tayari
ana jina kubwa kutokana na aina ya kipekee ambayo anaifanya, mara ya
mwisho tumemsikia kwenye collabo aliyoifanya na Shaa toka TZ, safari hii
kaja na single yake mpya ambayo amefanya na mkali wetu TZ, AY..
Wimbo unaitwa ‘Easy’, unaweza kuiplay hapa mtu wangu.. Hii ni moja ya collabo za wakongwe kwenye game ya muziki East Africa yani.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment