“Hufai eti, wanasema Unavuaga tu Sketi….. Na Ntaregret we Shuka Mwenzako Blangeti….!!!!!! Onset!!#NAKUPENDA @iyanya ft your Boy!” @diamondplatnumz
Hiyo ni caption aliyoiweka Diamond Platnumz MARCH 9 2015 pamoja na PICHA wakiwa na Iyanya Nigeria kazi ya kurekodi video ya wimbo Nakupenda ilikuwa inaendelea hapo.
Leo nimekutana na kipisi cha hii video
ambacho ni behind the scenes ya wimbo huo, play hapa uone mtu wangu huu
mzigo ukitoka utakuwa na ladha gani.
0 comments:
Post a Comment