Picha hizi zimezua story kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, baada
ya Demu wa Rapper anaechipukia kutoka Tz kuonekana akiwa amejimwagia
pesa juu ya kifua chake huku sehemu ya chuchu upande mmoja ikiwa wazi.
Pengine ni furaha ya pesa imesababisha mpigaji picha na mpigwaji
kutokuona hiyo sehemu, pia imeleta mtazamo tofauti kwa watu kuwa Rapper
huyo ameshaanza kuvuta mpunga kwa sasa hivyo kama pesa zinampa mzuka wa
kufanya haya, Na hii Picha ni yeye aliyompiga huyu Demu ...Young Killer
Bado ni Mdogo Sana kufanya hivi Vitu ...Kama ana Manager Basi Yabidi
kumuonya..Justin Bieber Alianza hivi hivi kidogo kidogo
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment