Nuhu Mziwanda Amshukuru Shilole Kwa Kumpandisha Ndege Kwa Mara ya Kwanza..
"My best #Tbt kwa mara ya kwanza napanda ndege asee na Alienitoa 
ushamba ni baby wangu mwenyewe japo kazaliwa igunga na mimi mtoto wa dar
 lakini kanipandisha ndege ahahaha ...Usimdharau Mtu katika maisha #TBT" Nuhu Mziwanda
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
 
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja 
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:
Post a Comment