Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Hussein Machozi Anaswa na Mchepuko wa Kidhungu, ni Baada ya Kumtelekeza Mke Wake wa Kimombasa

Hussein Machozi Anaswa na Mchepuko wa Kidhungu, ni Baada ya Kumtelekeza Mke Wake wa Kimombasa

Kama ulikuwa unajiuliza Hussen Machozi Yupo wapi baada ya kupotea kwenye Ramani ya Muziki basi leo utapata jibu hapa.
Hivi Karibuni Mwanamke mmoja wa Kimombasa alisikika kwenye vyombo vya Habari na kusema walifunga ndoa na Hussein machozi kwa Siri na baada ya ndoa Hussein Machozi Akamtelekeza ..Sasa habari mpya ni kuwa Hussein Machozi Ametulia kimapenzi kwa Mzungu kwa sasa na Ameshikiliwa Kinoma kiasi cha kwamba afurukuti kwa mzungu huyo..na labda ndio sababu ya kimya chake katika Muziki..

Embu Mshauri Hussen Machozi ChochoteWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips