Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Picha ya Nay wa Mitego Akiwa na Msichana Uchi Kitandani Yazua Mjadala, Wengi Wasema ni Udhalilishaji wa Mwanamke

Picha ya Nay wa Mitego Akiwa na Msichana Uchi Kitandani Yazua Mjadala, Wengi Wasema ni Udhalilishaji wa Mwanamke


Picha hii imepostiwa kupitia Account ya msanii wa Nay Wamitego ya Instagram akiwa yupo kitandani na mwanadada ambae amevalia bikini huku sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa wazi unaonekana.
Hali ya mwanadada huyo ameonekana akitabasamu bila kuwa na wasi wasi kitendo ambacho kinafanya tuamini kwamba labda wana shoot video, lakini sidhani kama ni sawa pia kwa maadili yetu ya Kitanzania.

Pengine si vibaya lakini mazoea hayo kwetu Watanzania ni mageni.
Picha hii imeonekana kuchukiza mabinti wengi na kuenea kwa story tofauti kwa muda mfupi tangu aipost.

Je Una maoni Gani?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips