Sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa, Kaniambia kama naweza leo nitoke kazini mapema nitamkuta kashajiandaa
Duuh najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee, hali ikiendelea hivi Wife Atajua ..Ushauri TafadhaliWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:
Post a Comment