Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Wastara Atoa Maneno ya Uchungu, Yawagusa Wengi!

Wastara Atoa Maneno ya Uchungu, Yawagusa Wengi!


Muigizaji wa filamu,Wastara Juma  amewapa watu simamzi zito mtandaoni, baada ya leo kuandika maneno mazito ya uchungu akisema matatizo ya dunia yamemzidia na kubandika picha akiwa analia. Na hivyo kupelekea mashabiki wengi kumpa pole  na kumtia  moyo kuwa yote yana mwisho wake na Mungu ndio mpagaji wa yote.



Hapa duniani kila mtu ana shida na matatizo lakini kwangu mimi yamezidi daaah eeeh Mungu nibadilishe basi hiyo nafasi ya mteso uliyoniweka muweke mwingine nami unipe furaha nicheke kama wengine maishani mwangu niache kulia eeeh Mungu baba jamani mimii mimiii aah”.-Wastara aliandika baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.

Hakuweka wazi nini hasa kimempata,lakini picha hii inaonekana imetoka kwenye moja ya kipande cha filamu.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips