Licha ya Kukatazwa Mgomo wa Madereva wa Mabasi Waanza Rasmi Ubungo
Habari zilizotufikia hivi punde ni
kwamba katika stendi ya Ubungo jijini Dar es Salaam kuna mgomo wa
madereva waendeshayo mabasi yaendayo mikoani. Mgomo huo umeanza leo kama
ambavyo muungano wa madereva wa vyombo vya usafiri waliahidi wakidai
kutotatuliwa kero zao na serikali. Taarifa zaidi pamoja na picha
vitawajia hivi punde.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment