Ratiba ya awali iliyotolewa na familia wamesema mwili wa Marehemu Kapteni Komba utafika saa 10 kwa ajili ya sala kisha mwili utalala hapa nyumbani kwake kwa siku ya mwisho kisha kesho March 02 utaelekea Karimjee kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kisha utasafirishwa kuelekea Songea kwa mazishi.
BY MILLARD AYOWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment