Huyu bwana mkubwa jimboni kwake kuna wananchi hawajawahi kuona mabomba
ya maji, wanatafuta na kubeba maji kwa Mnyama Punda, YAANI HAKUNA MAJI,
HAKUNA UMEME , HAKUNA BARABARA ,WANAPITA KWENYE BARABARA
ZILIZOTENGENEZWA NA
NG'OMBE.
NG'OMBE.
HAKUNA VYUO , BARABARA YA LAMI NI ILE IENDAYO MWANZA ETI LEO AJE AKOSOE JIMBO LA IRINGA MJINI.
WANACHI WA IRAMABA MAGHARIBI WAKIJA IRINGA MJINI WATADHANI WAKO
MBINGUNI, WANAIRINGA HAWANA LA KUJIFUNZA KUTOKA IRAMABA MAGHARIBI,
....WANAIRINGA KITU gani cha kujifunza kwa mtu huyu mwongo,anayewatumia
tu WATU maskini wa IRAMABA
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment