Dr Possy akimsomea Rais Kikwete Mapendekezo ya Viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania juu ya namna ya kupambana na kukomesha ukatili na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini
Rais Kikwete akiongea na Viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2015 alipowakaribisha ili kusikiliza matatizo yao na kujadiliana nao mikakati ya namna ya kukomesha ukatili na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchiniWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment