Shamsha na Nay wa Mitego walikuwa wakizungumza kwa pamoja ndani ya Global TV hivi karibuni. “Ukweli ni kwamba finally nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Emanuel (Nay) lakini tumeachana,” alisema Shamsa.
Kwa upande wake Nay alisema uhusiano ulikuja baada ya kuwa marafiki.
“Tulikuwa washkaji, mahusiano yetu yalianza hivyo,” alisema rapper huyo.
“Tulienda Masaki baada ya kukaa mida fulani wakati wa kuondoka kusema kweli, kidogo nikaanza kuvutiwa na Shamsa Ford, katika kuagana nikaomba mimi nikamwambia mimi mwenzako matatizo yangu ni haya.
Bahati nzuri yeye pia hakuwa mzito, nahisi na yeye alikuwa amesoma kitu kwangu labda ambacho kilimvutia. Tuli-kiss na for the first time tulikuwa tumeonana siku hiyo na kwamba kila mtu alikuwa tayari kwa lolote litakalotokea. So tukaanza hivyo, kilichotufanya tuendelee kuwa connected ni lile kiss la siku ya kwanza,” aliongeza Nay.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment