3
Showing posts with label Ney wa Mitego. Show all posts

VideoMPYA: Nay wa Mitego - ‘saka hela’
3
Labels:
music,
MUZIKI,
Ney wa Mitego,
VIDEO
Nay wa Mitego Adai Hela Pamoja na Mali Anazomiliki Zina Thamani ya Bilioni Moja
![]() |
| Nay wa Mitego Akiwa na Gari yake |
Akizungumza katika kipindi cha Weekend Chat Show cha Clouds TV Ijumaa hii, Nay alisema biashara pamoja na muziki wake ni vitu vinavyomwingizia pesa nyingi.
“Mimi mali zangu na kila kitu zinafika kwenye bilioni hivi, ukichanganya hela zilizo benki pamoja na biashara ninazofanya thamani yake zinafikia bilioni moja na kitu. Sitaki kudanganya watu sijui kwenye bilioni 2 huko,” alisema Nay.
Nay alisema hela hizo amezipata kupitia biashara ya daladala pamoja na muziki wake.
Rapa huyo mwaka 2014 alihamia kwenye nyumba yake iliyopo Mbezi jijini Dar na kudai nyumba hiyo ina thamani ya milioni 200.3
Labels:
Ney wa Mitego
Siwezi kurudiana na Nay wa Mitego - Shamsa Ford
Ikiwa imepita siku moja toka Nay wa Mitego kupost picha ya Shamsha Ford
kwenye mitandao yake ya kijamii ikiwa na ujumbe wa 'Happy Valentine'
hususani siku ya wapendanao mwanadada Shamsha Ford amefunguka na kusema
kuwa kamwe hawezi kurudiana kimapenzi na msanii huyo wa bongo fleva ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa 'Shika Adabu yako'
Shamsha Ford amesema kuwa kwa sasa ana maisha yake na mwanaume mwingine ambaye wanaheshimiana na anampenda hivyo kitendo cha Nay kupost ujumbe wa Valentine akitumia picha yake yeye anaona ni kama msanii huyo anataka kuwakumbusha watu mambo ambayo yeye alishayasahau na mashabiki walisha sahau na kumtaka msanii huyo amuheshimu kwani kwa sasa hayupo kutafuta kiki wala scandal za kijinga.

"Naona mambo yanazidi kuvumishwa kwamba nimerudiana na Nay. Pls pls nina maisha yangu na mwanaume ambae nampenda na kumuheshimu. ..sijarudiana na nay na haiwezi kutokea kabisaaa. ..Nay una ndugu na marafiki wengi wa kuwaposti siku ya leo haikuwa muhimu uniposti mimi. nilishukuru Mungu watu walishasahau kuhusu mimi na wewe but naona umetaka kuyafufua. Sipendi scandal na si maisha yangu kutafuta kiki za kijinga. KAZI YANGU NDO INAYONITAMBULISHA. ..PLS TUESHIMIANE" alimalizia Shamsa Ford3
Labels:
Ney wa Mitego,
Shemsa Ford
Ni zamu ya Nay wa Mitego kaonesha kumsupport Mgombea wa Urais 2015…
Mwaka huu ni headlines za Uchaguzi 2015 tumeona baadhi ya wasanii wameonesha kutoa support kwenye kipindi hiki kwa wagombea Urais wawili ambao ni John Pombe Magufuli atakaegombea CCM na Edward Lowassa kupitia CHADEMA.
Miongoni mwa wasanii waliojitokeza na kutangaza rasmi kumsupport mgombea Urais kupitia CCM, Dkt.John Pombe Magufuli, kuna Wema Sepetu, Batuli, Snura, Linex, Steve Nyerere, Diamond Platnumz, Shetta, Barnaba,Bushoke, Kysher, Wastara na wengineo huku mwigizaji Aunty Ezekiel na Jackline Wolper wanamsupport Edward Lowassa na sasa ni zamu ya Nay wa Mitego.
Nay wa Mitego anamsupport Edward Lowassa kayaandika haya….>>>>Huwezi zuia Mvua ikiamua kunyesha inanyesha tu! Tuna Imani na Lowassa. Ccm wote bado wana Imani na Lowassa hata Kura za Urais ni kwa Lowassa.Nilikua sipost chochote coz Nilikua nataka nisikie CCM labda wana jipya juu ya sera yao mwaka huu coz upinzani umekua mkali, wangenishawishi kidogo. Dooh ndo wameongeza uozo mara dufu.Watanzania wameamka si kwa uongo ule wa jana ���� Milioni Hamsini kila Kijiji. Tanzania ina vijiji vingapi? Piga Hesabu ya haraka kadilia, si chini ya bilioni 600 na zaidi.Watanzania sio mazoba kiasi hicho tumeshtuaa…Hamjajipanga mwaka huu mmetukosa..#Mabadiliko20153

Shamsa Ford Na Nay wa Mitego Wakiri Uhusiano Wao wa Kimapenzi
Msanii wa filamu nchini, Shamsa Ford amekiri kuwahi kutoka kimapenzi na Nay wa Mitego na baadaye wakaachana.
Shamsha na Nay wa Mitego walikuwa wakizungumza kwa pamoja ndani ya Global TV hivi karibuni. “Ukweli ni kwamba finally nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Emanuel (Nay) lakini tumeachana,” alisema Shamsa.
Kwa upande wake Nay alisema uhusiano ulikuja baada ya kuwa marafiki.
“Tulikuwa washkaji, mahusiano yetu yalianza hivyo,” alisema rapper huyo.
“Tulienda Masaki baada ya kukaa mida fulani wakati wa kuondoka kusema kweli, kidogo nikaanza kuvutiwa na Shamsa Ford, katika kuagana nikaomba mimi nikamwambia mimi mwenzako matatizo yangu ni haya.
Bahati nzuri yeye pia hakuwa mzito, nahisi na yeye alikuwa amesoma kitu kwangu labda ambacho kilimvutia. Tuli-kiss na for the first time tulikuwa tumeonana siku hiyo na kwamba kila mtu alikuwa tayari kwa lolote litakalotokea. So tukaanza hivyo, kilichotufanya tuendelee kuwa connected ni lile kiss la siku ya kwanza,” aliongeza Nay.3

Nay wa Mitego "Shamsa Ford Akitulia Namuhalalisha Kuwa Mke Wangu Kabisa"
Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, ameeleza kuwa
endapo staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambaye sasa hivi wanapika na
kupakua, atamuonesha utulivu na uaminifu hataona sababu ya kutomuoa.
Nay aliyasema hayo juzikati alipokuwa akizungumzia mipango yake na Shamsa ambaye amejiweka kwake baada ya kutosana na mzazi mwenzake, Siwema. Nay alisema:
“Hilo la ndoa kiukweli kabisa kama Shamsa ataonesha kutulia na kunithibitishia kuwa hatakuja kunizungua, sitaona hatari kumuoa.”
GPL 3

Shemsa Ford,
UDAKU
Majirani Wafichua Siri..Kumbe Nay wa Mitego na Mwigizaji Shamsa Ford Wanaishi Nyumba Moja Kama Mke na Mume..Hakuna cha Project Wala nini
Mara baada ya kuelezwa kwamba wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi huku
wenyewe wakidanganya wana ‘projekti’, hatimaye majirani wamefichua kuwa
mwigizaji Shamsa Ford na mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay’, sasa
wanaishi kama mke na mume.
Baada ya kutonywa ‘mchapo’ huo, gazeti hili liliwadamkia nyumbani kwa Nay maeneo ya Kimara-Korogwe jijini Dar na kumkuta Shamsa akiwa na kanga moja.Mwanahabari wetu, baada ya kufika nyumbani hapo mishale ya asubuhi alikuwa bega kwa bega kuwafuatilia ambapo alifanikiwa kugundua kwamba wawili hao sasa wanaishi kama mume na mke.
Habari zilizopatikana zilidai kwamba, kwa sasa Shamsa hana muda mwingi wa kukaa nyumbani kwake kwani asilimia tisini kama si mia moja kabisa, anautumia kukaa na Nay nyumbani hapo.Mara kadhaa mwandishi wetu amekuwa akifika nyumbani hapo na kumkuta Shamsa akipika na kupakua huku akiwa na kanga moja huku wenyewe wakiitana mke na mume na kuoneshana mahaba motomoto.
“Kwani tatizo lipo wapi? Siwezi kufanya siri tena, sisi tupo kwenye uhusiano wa kimapenzi kama unavyotuona, nimeamua kumchagua Nay kwa kuwa anajua kupenda na kuthamini,” alisema Shamsa alipohojiwa na paparazi wetu.
Alipoulizwa Nay kulikoni ‘kumficha’ Shamsa nyumbani kwake, alifunguka:
“Yeah! Kwa sasa hakuna project tena, hapa ni mapenzi kwa kwenda mbele, sipendi kuwazungumzia wengine, napenda kuangalia uhusiano wangu upo vipi kwa sasa, ninampenda Shamsa.”
Nay na Shamsa walianza uhusiano huo mara baada ya mwanamuziki huyo kudai kwamba alimnasa mpenzi wake, Siwema akiwa na mwanaume ndani ya sita kwa sita hivyo kuamua kuachana naye moja kwa moja na kujikuta akiangukia kwa mwigizaji huyo 3