EDWARD LOWASSA aiteka kaskazini
Mamilion ya watu wamlaki, viongozi wa CCM Kilimanjaro na Arusha waitosa CCM na kujiunga CHADEMA.
Aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani Laurence Masha ajisalimisha CHADEMA kabla ya ujio wa LOWASSA huko MWANZA.
UKAWA KIMEELEWEKA!!
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment