Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Chanzo cha ajali ya RATCO na NGORIKA Hiki hapa..

Chanzo cha ajali ya RATCO na NGORIKA Hiki hapa..

IMG-20150409-WA0018
Tangu ilipotokea ajali ya barabarani eneo la Changarawe Iringa ambayo ilitokana na basi la abiria la Kampuni ya Majinjah Express kugongana na lori, stori zikaendelea kuwa nyingi kwenye vyombo vya habari, nyingi zikiandikwa kuhusu vyanzo vya ajali hizo.
Ajali nyingine tena imetokea Tanga leo APRIL 9 2015, taarifa za awali zinasema watu 10 wamefariki na wengine wamepata majeraha kutokana na ajali hiyo iliyotokea eneo la Mkata, Wilaya ya Handeni Tanga, gari zilizopata ajali hiyo ni basi la NGORIKA, jingine la RATCO pamoja na gari nyingine ndogo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, RPC Juma Ndaki kathibitisha kutokea kwa ajali hiyo huku akisema kwamba chanzo cha ajali hiyo ni baba mmoja aliye mpakiza mwanae ambae anaupungufu wa akili kutaka kuendesha yeye gari hilo kuyumba na kusababisha ajali. lakini aliendelea na kusema kuwa  mwendo kasi pia umechangia kutokea ajali hiyo.
Hizi ni PICHAZ ambazo zimeenea mitandaoni zikionesha jinsi hali ilivyo eneo la tukio.
IMG-20150409-WA0014 IMG-20150409-WA0015
IMG-20150409-WA0016
IMG-20150409-WA0017
IMG-20150409-WA0018
IMG-20150409-WA0013
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips