Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Dudu Baya Akwapua Simu Bar, Nusura Wananchi Wamchome Moto

Dudu Baya Akwapua Simu Bar, Nusura Wananchi Wamchome Moto

Msanii Dudubaya Ameingia katika Skendo nyingine baada ya kushutumiwa kutaka kuiba simu ya mdau mkubwa wa Twanga pepeta ajulikanae kama Mapao ambae alikuwa amekaa naye meza moja pale Mango Garden huku Twanga Peteta wakiburudisha Tarehe 14 March..
Inasemekana Papa Mapao baada ya kutosheka na Burudani aliamka na kuondoka lakini baada ya kufika nje alishtuka kuwa ameacha simu mezani na kurudi lakini alikuta simu haipo na mtu aliyemwacha hapo ni Dudubaya ambae bado alikuwa hapa .Hali ilikuwa mbaya ukumbini kwani baadhi ya mashabiki walipendekeza Dudubaya Asachiwe lakini ghafla simu ilionekana miguuni kwa Dudubaya akiwa ameikanyagia na viatu..ilibaki kidogo jamaa wamchome Moto ..alisema mdau mmoja aliyekuwepo eneo la Tukio.....WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips