Kama ulipitwa na Fix za Baba Levo ambae huwa anasikika kwenye Ampifaya ya CloudsFM Jumatatu mpaka Ijumaa, moja ya fix zake wiki hii ilikua ni kuhusu nyumba mpya ya Diamond Platnumz ambayo imetengenezwa kwa gharama na kunakshwiwa kwa gold bafuni.
Kupata utani wote wa Baba Levo kuhusu hii nyumba ya Diamond na Wasanii wengine bonyeza play hapa chini.
Picha nyingine za nyumba ya Diamond kabla na baada ya kumalizika ndio hizi hapa chini
kutana nami kwenye Facebook Gallos stanslaus, instagram -gallosstanslaus Twitter- gallosstanslausWEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment