Ni siku mbili zimepita toka Alikiba alipoifanya party ya
kuitambulisha video yake mpya kwa Watanzania wachache waliopewa kadi za
mwaliko, ila sasa hivi ameiachia video kwenye Youtube ili kila mtu
aitazame… ni video ambayo aliifanya Marekani wiki kadhaa zilizopita….
ukishaitazama acha na comment yako hapo chini ili Alikiba akipita badae
ajue mashabiki zake wanasemaje.
UNATAKA KUONA PARTY YA ALIKIBA KUILETA LUPELA ILIVYOKUWA? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment