Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Alikiba aeleza kwanini aliimba nyimbo chache Mombasa

Alikiba aeleza kwanini aliimba nyimbo chache Mombasa

October 10, 2016 Mtu wangu wa nguvu nakusogezea hii Video ya alichokisema msanii Alikiba kuhusu kuperform kwa muda mfupi kwenye tamasha la Mombasa Rocks lililofanyika weekend iliyopita nchini Kenya.
Kufahamu alichokisema Alikiba wakati akizungumza na Mtangazaji wa Radio Citizen ya Kenya, William Tuva “Mzazi” Tazama video hii.




ULIPITWA NA SHOW YA ALIKIBA KWENYE CONCERT YA MOMBASA? NIMEKUWEKEA HAPA


WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips