Dr Mwakyembe Akiwa njiani kwenda Congo Kufungua Kituo cha Bandari ya
Tanzania ambacho kitasaidia Malipo kwa Wafanya Biashara wa Wanaopitishia
Mizigo ya Bandari ya Dar es salaam aliweza kuona hali halisi waliyonayo
Madereva wa Magari Makubwa ya Mizigo Kutoka Tanzania kwenda nchi
zingine, Amehabarisha kuwa Madereva wa Tanzania ni wachafu na wananjaa
Sana Kiasi wanatembea na Masufuria na vikombe kwenye Malori yao kwa vile
hawana uwezo wa Kununua chakula Mahotelini wakiwa njiani ni Bora wafike
mahali Wapike...Amesema hii inatia Aibu Taifa kwani ukikutana na Malori
Mengine kutoka nchi zingine ni wasafi na wanaonekana Wamewezeshwa vya
kutosha, amesema Madereva wa Tanzania Wamesema wanapewa Hela kidogo ya
Kujikimu njiani , Boss anakupa laki tatu hiyo uitumie mwezi mzima ukiwa njiani ni haki Kweli ? Mwakyembe amehaidi kulishughulikia hilo swala
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment