"Nataka kukumbuka nilivyorudi kwenye game 2014 toka nimepumzika, nimepiga hatua kubwa sana na hii ni kutokana na support kutoka kwa mashabiki, mtanisamehe mashabiki pale nilipokosea, ila kwa furaha niliyonayo leo kusaini mkataba huu naomba nikirudi nifanye party ili nifurahi pamoja na mashabiki zangu ambao walikuwa na mimi mwanzo mpaka sasa" alisema Alikiba.
Mbali na hilo Alikiba amewashukuru waandishi wa habari na vyombo vya habari ambavyo vilikuwa vikimpa support kwenye kazi zake za muziki siku zote. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment