Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Maamuzi ya mwisho ya Man United kuhusu ajira ya Louis van Gaal yametangazwa leo May 23 2016

Maamuzi ya mwisho ya Man United kuhusu ajira ya Louis van Gaal yametangazwa leo May 23 2016

Baada ya headlines za muda mrefu kuhusu ajira ya kocha wa Man United Louis van Gaal kuripotiwa kuwa mashakani, huku uongozi wa Man United ukiwa umekaa kimya pasipo kukanusha au kukubali habari hizo, leo May 23 2016 taarifa rasmi zimetoka.
vaaaa
Taarifa rasmi iliyoripotiwa na dailymail.co.uk na BBC Sports inaeleza maamuzi ya klabu hiyo yamefikiwa mchana wa leo na kuamua kumfuta kazi Louis van Gaal, kocha huyo wa kiholanzi anapoteza kazi ikiwa ni siku mbili zimepita toka ashinde Kombe la FA na klabu hiyo.
bbc
Van Gaal amefukuzwa lakini ameripotiwa Jose Mourinho kujiandaa kuchukua nafasi yake muda wowote kuanzia hivi sasa, Van Gaal ameondoka pamoja na kocha msaidizi Albert Stuivenberg na kocha wa makipa Frans Hoek, hivyo Mourinho atakuja na benchi jipya la ufundi.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips