Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Arsenal Bingwa FA, Baada ya Miaka 9 Bila Kombe

Arsenal Bingwa FA, Baada ya Miaka 9 Bila Kombe

Arsenal wametwaa kombe la FA baada ya kukaa miaka tisa bila kombe lolote. Wametwaa ndoo hiyo kwa kuifunga Hull City bao 3-2 katika muda wa nyongeza baada ya sare ya 2-2 katika muda wa kawaida kwenye Uwanja wa Wembley usiku huu.

Wafungaji Arsenal: Carzola dakika ya 17, Koscielny dakika ya 71 na Ramsey dakika ya 109 wakati ya Hull City yakifungwa na Chester dakika ya 4 na Davies dakika ya 8WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips