Wameshauliwa sana, wameimbiwa saaaana lakini wenye masikio ya kufa
ambayo hayasikii dawa wanaendelea kupaka. Dada zetu jaman kama mungu
kakuumba na vitako vidogo kama skonzi au ngumi za mtotovumilia tu. Hivi
huoni aibu hata kidogo, leo unavitako vidogo kama vibumunda vya bakhresa
kufumba na kufumbua una makalio kama umejazwa upepo. Huogopi hata watu
watakustukia. Haya sasa kama unapenda hilo, jua na madhara yake
pia...mwenzenu amebakisha makalio yaliyoumuka na kuvimba kama viazi vya
kuchoma.
SI UNAUTAKA UZURI WA MATAKO, PAKA TUKUONE KAMA HAUTAKUWA NA MAKALIO YALIYOPISHANA SIZE.....NIMEMALIZA
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment