Ni siku moja imepita toka wimbo wa staa wa Bongo Fleva, Jux uguse headlines kubwa za Burudani Africa ambapo kwenye historia ya safari yake ya muziki huu unakuwa wimbo wake wa kwanza kuruka kwenye TV kubwa duniani…
Jux ameona sio mbaya tukiendelea kufaidi yale mazuri kutoka kwake, ametusogezea official video ya wimbo wake Looking For You, video imetengenezwa South Africa chini ya usimamizi wa Gorilla Films na Video Director anaitwa Justin Campos.
Nimekusogezea video hiyo hapa chini bonyeza play kuitazama mtu wangu.
0 comments:
Post a Comment