Kundi A, zimepangwa klabu ya Paris Saint Germain, Real Madrid, Shakhtar Donetsk na Malmo.
Kundi B, mabingwa wa mara 3 wa kombe hilo Manchester United wamerejea tena kushiriki kwenye michuano hiyo wakiwa wapo kwenye kundi linaundwa na PSV, CSKA Moscow na Wolfsburg ya Ujerumani.
Kundi C, litakuwa na timu za Benfica, Atletico Madrid, Galatasary na timu mpya kwenye michuano hiyo Astana ya Khazastan.
Kundi D, Linaundwa na waliocheza fainali msimu uliopita Juventus, Manchester City, Sevilla na Borussia Monchengladbach.
Mabingwa watetezi FC Barcelona watachuana na As Roma, Bayern Leverkusen na Bate katika kundi E.
Kundi F, litakuwa na timu za FC Bayern Munich, Arsenal, Olympiakos na Dinamo Zagreb.
Mabingwa wa Uingereza, Chelsea FC wanyewe wamepangwa katika kundi H ambalo lina timu za Porto, Dinamo Kyiv na Macabi Tel Aviv.
Kundi la mwisho linaundwa na Valencia, Zenit, Lyon na Gent, ambayo inashiriki michuano hiyo kwa mara ya kwanza.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment