Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Odama Afunguka 'Siwapenda Marafiki wa Kiume Kwani Ukitaka Kitu Kwao wakusaidie lazima Nao Watake Kitu Kutoka Kwako...Nipe Nikupe'

Odama Afunguka 'Siwapenda Marafiki wa Kiume Kwani Ukitaka Kitu Kwao wakusaidie lazima Nao Watake Kitu Kutoka Kwako...Nipe Nikupe'

Odama Katika Pozi
Staa wa Bongo Movies,  mwenye mvuto  wa aina yake, Jennifer Kyaka ‘Odama’, amesema anaogopa marafiki wa kiume kwa kuwa huwa na masharti magumu pindi wanapotoa msaada.

Wasanii wa kiume kwangu sipendi kwa kuwa huwa na masharti kuliko marafiki wa kike ambao husaidia bila masharti ya ajabu,” alisema.

Odama Bongo Movies

Aliongeza kwamba, marafiki wa kike anakuwa huru kuwaeleza shida na matatizo yake kuliko wa kiume ndiyo maana hiyo ni sababu yake nyingine ya kutopenda marafiki wa kiume kama anavyopenda marafiki wa kike. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips