Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Hatimaye Mbunge Vicky Kamata Kuolewa..Huyu Ndio Mchumba Wake, Ndoa yao itagharimu Sh. milioni 96 za kitanzania

Hatimaye Mbunge Vicky Kamata Kuolewa..Huyu Ndio Mchumba Wake, Ndoa yao itagharimu Sh. milioni 96 za kitanzania

 

Habari ya mjini ni maandalizi kabambe ya staa wa bongo flava na mbunge wa viti maalumu (ccm) anae wakilisha vijana mkoani Geita, Vicky Pascal Kamata ikidaiwa kuwa shuguli hiyo itatafuna kiasi cha Sh. milioni 96

Habari kutoka kwa chanzo cha habari cha ndani zinasema kuwa Vicky anatarajia kufunga pingu za maisha mie 24 mwaka huu na mchumba wake wa muda mrefu anayejulikana kwa jina la Charles Pai

Imedaiwa kwamba mwanaume huyo ni kigogo ndani ya kampuni moja za simu hapa nchini.

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips