MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana
hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii
wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi.
Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa
ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa
kumpa za chembe..
“Huwezi kuwa mtu unayejiheshimu katika jamii halafu ukatupia picha ya
namna hii katika mtandao wa kijamii,” alichangia mmoja wa wafuasi wa
Instagram.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment