Chanzo kimeiambia US Weekly kuwa Riri na Drizzy walikuwa na ugomvi mwingine tana hivi karibuni kutokana na Drake kuwa na mapenzi mengi kwa Rihanna, kilisema chanzo hicho.
Couple hiyo yenye historia ya kuwa On na Off kwa muda mrefu ilianza kuonesha uhai mpya wa mapenzi yao walipokutana Paris, Ufaransa mwezi February, ambapo Riri alihudhuria show ya Drake, na baada ya hapo wakawa wanaonekana pamoja mara kwa mara.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment