Justin Timberlake na Jessica Biel
ni miongoni mwa mastaa ambao wapo kwenye uhusiano na kimapenzi na
wamejipatia mashabiki wengi Hollywood, na sasa ni zamu yao kukaa kwenye
headlines.
Baada
ya safari ndefu ya uhusiano wao wa kimapenzi jana wamefanikiwa kupata
mtoto wa kwanza wa kiume jana ambaye wamempa jina la Silas Randall Timberlake.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment