Ben Pol alitoa hit single ya #Sophia, YES.. mapokezi yalikuwa poa sana kwa huyu mtu wetu, baadae tukaisikia Sophia aliyorudia msanii Peter Msechu.
Unatamani kuisikia ya Quick Rocker?
Hii ni ndio aliyoifanya yeye.. Sophia kwenye fleva ya muziki wa reggae yani.. enjoy…
0 comments:
Post a Comment