Arsenal
inaifukuzia Chelsea katika kuwanaia kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya
England baada ya jana kushinda bao 1-0 ugenini ikiwa ni ushindi wa nne
mfululizo.
Sasa
Arsenal imefikisha jumla ya pointi 66 ikiwa nyuma ya Chelsea yenye
pointi 70 baada ya jana Aaron Ramsey kufunga goli la ushindi dhidi ya
Burnley dakika dakika ya 12.
Totternham
nayo imezamishwa na Aston Villa bao 1-0 lililofungwa na Cristian
Benteke dakika ya 35 kwenye uwanja wa White Hart Lane, London
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment