Mchana wa jana Aug 14 kwenye kipindi cha XXL kwenye kipengele cha You heard alisikika Alikiba na ilikua ni baada ya kusemekana wazazi wa Jokate hawajawa tayari kumuozesha binti yao Jokate kwa sababu Alikiba muislam wakati Jokate ni mkristu.
Saa chache zilizopita mrembo Jokate amepost picha ikimuonyesha Alikiba akiimba kisha akaipa maneno ‘My Everything‘ picha hiyo imepata comment nyingi na comment nyingi zimwasifia kuwa wanaendana hivyo waweke wazi’
Hii ni video aliyopost Jokate.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment