Video ya wimbo huu ni miongoni mwa video za Kibongo zilizopata baraka ya kuzinduliwa na kituo kikubwa cha nje cha Kimataifa MTV,Ndoto hii imekua ni ya muda mrefu kwa Jux baada ya video zake kadhaa zilizopita kukosa nafasi hii ambayo Looking For You imeipata.
Video ya wimbo huu ilitambulisha August 11 kisha August 12 ikawekwa youtube na leo Aug 14 imetazamwa zaidi ya mara elfu 44,leo nimefikiwa na audio yake mtu wangu ambayo ndani yake kashirikishwa mkali kutoka A Town Joh Makini.
Bonyeza play kusikiliza.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment