Kilifunguka kwamba, baada ya Wema kung’atwa sikio juu ya Mkongomani ambaye ana ‘hela chafu’, alidaiwa kuonekana kuchachawa hivyo eti alikubali kupelekwa kwake akajazwe ‘mihela’.
Baada ya Wema kufika hotelini hapo, alitambulishwa kwa Mkongo huyo ambapo baada ya kusalimiana tu, walikaa pamoja na kuanza ‘kufanya yao’.
Baada ya Wema na Mkongo huyo kukutana na kumaliza ‘shida’ zao, kila mtu alichukua hamsini zake huku jamaa huyo ‘akim-block’ Wema kwenye simu.
Pamoja na Wema mwenyewe Kukanusha kupitia instagram kwamba hizo picha ni za 2011, ushahidi wa simu za mezani umemuumbua kwani simu inayoonekana ikimpiga picha ni samsung galaxy s6 edge na simu inayoonekana ipo mezani ni iphone 6 ambazo ni simu zilizotoka juzi juzi tuu.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment