Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Ally Nipishe kaipokea zawadi ya gari? maneno yake ni haya kwa Soudy Brown.. #UHeard

Ally Nipishe kaipokea zawadi ya gari? maneno yake ni haya kwa Soudy Brown.. #UHeard

ist_R

Staa wa Bongo Fleva Ally Nipishe alisimulia wiki iliyopita kuhusu kisa cha kukamatwa kwake na kuwekwa ndani kwa miezi mitatu baada ya kununua gari ambayo ilikuwa ya wizi.
Soudy Brown leo kamwandalia surprise, dada mmoja kajitolea kumnunulia Ally Nipishe gari ili kumfuta machozi msanii huyo lakini mwenyewe alikataa kabisa kuipokea zawadi hiyo.
Ally Nipishe alishangazwa na surprise hiyo, huyu dada anasema yeye ni shabiki yake tu, kaguswa na matatizo yaliyompata Ally akaona amnunulie gari kumpunguzia machungu ya tatizo ambalo liliwahi kumkuta staa huyo.
U Heard iko hapa, sikiliza ilivyokuwa wakati Ally Nipishe anataka kupewa zawadi hiyo.

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips