‘Kwasasa maisha yetu sisi tunaonekana kama vile kwamba wasanii ndio wanakuwa wanaama ama lakini sio sisi tupo kwaajili ya kutengeneza maisha ya familia zetu kwa hiyo ikitokea bendi nyingine siwezi kusema kwamba sitowezi kuhama kwasababu sio nadhili lakini ikitokea bendi ambayo kabisa itanipa maslahi zaidi ya haya na mimi nikaishi na familia yangu vizuri ambavyo ninavyotaka mimi nitakubali kuhama nitaaga vizuri then mkataba ukiisha nitarudi nyumbani kama kawaida‘- Super Nyamwela
‘Mimi nilikuwa katika bendi moja itwayo Extra Bongo ambayo Choki alikuwa kama mkurugenzi na mimi nilikuwa kama kiongozi wa bendi kwa hiyo imedumu mimi niliikutia katikati lakini nimeweza kukaa kwenye bendi takribani ya miaka sita
Mimi nilikuwa naomba niwaambie mashabiki kuwa mimi na choki tumerudi rasmi Twanga Pepeta ninahitaji support tu za watanzania katika kazi zetu pia cha kumalizia naomba watanzania wawe na uzalendo wa kuelewa nyimbo za wasanii wa ndani kisha zifuate za nje’- Super Nyamwela
Unaweza uka bonyeza play kumsikiliza Super Nyamwela
0 comments:
Post a Comment