Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Showing posts with label Entertainment. Show all posts
Showing posts with label Entertainment. Show all posts

Wasichana 17 waliowahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Cristiano Ronaldo(Picha)

Vimeandikwa vingi sana kuhusiana na Staa wa soka wa Real Madrid ya Hispania na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo, kuhusu kuishi maisha ya kifahari Ronaldo kaandikwa sana, kuhusu watu kuhoji mama wa mtoto wake mwenye umri wa miaka 5 Cristiano Ronaldo Junior ni yupi, hiyo ilikuwa headlines kila kona kuhusu staa huyo.
August 14 nakusogezea list ya wasichana ambao Cristiano Ronaldo amewahi kuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi kwa nyakati tofauti lakini hakuna mama wa mtoto wake hapo kwani bado hajulikani, Ronaldo amewahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na wasichana zaidi ya 20 kwa nyakati tofauti hao ni wale aliowahi kuonekana nao public.
1. Jordana Jardel, 2003
Cristiano Ronaldo
Cristiano Ronaldo
2. Isabel Figueira, 2005
Letizia-Filippi-en-Cristiano-Ronaldo
3. Diana Chavez, 2006
4
4.Merche Romero, 2006
7nm1ef8l2no6l8n1
5.Gemma Atkinson, 2007
Ronaldo-Gemma_AFP_Twitter_DC
6.Karina Bacchi, 2007

8935a8c8759e45538b4fca102ae2980a

7.Bipasha Basu, 2007

00010073

8.Maria Sharapova, 2007
sharapova--346x2129.Nikki Ghazian, 2008
ng1035941

10. Letizia Filippi, 2008
nhung-bong-hong-da-qua-tay-cris-ronaldo-hinh-4

11.Mia Judaken, 2008
t341336 (1)

12. Paris Hilton, 2009
ava-62465

13. Raffaella Fico, 2009
fico

14.Imogen Thomas, 2010
hqdefault

15.Jasmine Lennard, 2010
jasmine-lennard-cristiano-ronaldo

16. Kim Kardashian, 2010
kim-kardashian-cristiano-ronaldo

17. Irina Shayk, 2011
irina-shayk-cristiano-ronaldo-marie-claire-11182011-lead-350x300
3

Kuwa na pesa sio kitu kinachompa furaha Bilionea wa Facebook !! Yako majibu yake hapa..

Zuckernberg
Hakuna mtu hapendi kuwa na furaha mtu wangu, wapo wanaodhani kuwa ili uwe na furaha ni lazima uwe na pesa..  Mark Zuckerberg ni Mwanzilishi na Boss wa Facebook, yeye amesema kitu ambacho kinampa furaha mbali ya kuwa jamaa ni mtu na pesa zake nyingi tu.
“Kwangu furaha ni kufanya kitu kizuri na cha maana ambacho kinasaidia watu… Kuna watu wanachanganya furaha na kufurahia, naamini sio kitu rahisi kufurahia kila siku ila naamini inawezekana kufanya kitu cha muhimu ambacho kinasaidia watu kila siku” >>>  Mark Zuckerberg.
.
Mark Zuckerberg
Mark Zuckerberg amesema amefanikiwa kutokana na kuwa karibu na watu wake mara zote, kuanzia mkewe, washkaji zake wanaofanya wote kazi… anaamini pia hakuna mtu ambaye anaweza kuitengeneza njia ya mafanikio kwa kusimama pekeake, ila uhusiano mzuri na watu wanaomzunguka.
Kwenye tafiti inaonesha Mark Zuckerbe
rg ana utajiri wa kama Bilioni 34.8… kama ulidhani furaha ni pesa basi haiko hivyo kwa  Zuckerberg.
3

PHOTOS!! Meet The Skinny Kenyan Man Who Has Changed His S*x to Female …. Pure Insanity

His name is Jaffar Jackson and he has decided to change his s*x to female after being trapped in the wrong body for years.

Jaffar claims that he was inspired by Kaitylyn Jenner, 65 (The Kardashian's step father).

Here are some photos of Jaffar as a woman;

"Feeling like I have been living in the wrong body for as long as I can remember. Finally decided to open up to the word! ‪#‎Transitioning#" Following the world shattering piece of news about Kaitylyn Jenner who finally become a woman after living entombed in the wrong body for 65 years.
3

Video: DJ Exclusive Feat. Davido ‘Wo Le’ (Video)

DJ-Xclusive-Wole-Feat.-Davido-Official-Video
Davido ni mmoja wa wasanii wenye majina makubwa Afrika, tunaendelea kumuona kwenye collabo baada ya collabo.
Dj Exclusive ameamua pia kumshirikisha staa huyo katika Video yake mpya inayoitwa ‘Wo LE’ iliyoandaliwa na mtayarishaji Adasa Cookey.
Itazame hapa mtu wangu….

3

Hii ndio list ya Mabondia sita wanaomsubiri Floyd Mayweather ulingoni..!! (Pichaz)

WBC/WBA welterweight champion Floyd Mayweather Jr. (L) and WBO welterweight champion Manny Pacquiao pose during a news conference at the KA Theatre at MGM Grand Hotel & Casino on April 29, 2015 in Las Vegas, Nevada. The two will face each other in a unification bout on May 2, 2015 in Las Vegas.
Bingwa Floyd Mayweather Jr
Kwani Floyd Mayweather kafilisika? kaamua kuususa mkanda wake? au ndio mwendelezo wa zile mbwembwe zake? Kweli kaamua kuuachia mkanda wake hivihivi kisa deni la Mil 446?
FLOYD
Mayweather na maisha yake ndani ya gari.
Story ya mwishomwisho kusikika kuhusu yeye ilihusu Shirikisho la Ngumi Duniani WBO kutangaza kumvua mkanda alioshinda baada ya kumpiga Manny Pacquiao kutokana na deni la Dola 200,000 (ni kama Tshs. 446) ambazo ilitakiwa alipie kama kodi baada ya pambano lake na Manny Pacquiao!!
Tukiachana na stori hizo najua kuna mastory mengi kuhusu jamaa kustaafu, maswali kuhusu nani atapanda nae jukwaani hivi karibuni.. ninayo hii list ya Mabondia ambao wametajwa kwamba huenda mmoja wao akapanda kuzipiga nae kabla hajastaafu.
Kiukweli kwenye hii list hakuna mwenye rekodi mbaya, kila mmoja ni mkali yani.
SHEFFIELD, ENGLAND - MARCH 28:  Kell Brook celebrates after beating Jo Jo Dan during their IBF World Welterweight Title Fight at the Motorpoint Arena on March 28, 2015 in Sheffield, England.  (Photo by Richard Heathcote/Getty Images)
Kell Brook, Jamaa na yeye ana rekodi kali kabisa Ulingoni. Ameshinda mapambano 35, kati ya hayo 24 ni knockout.
LAS VEGAS, NV - MAY 03:  Amir Khan smiles as he heads to his corner while taking on Luis Collazo during their welterweight bout at the MGM Grand Garden Arena on May 3, 2014 in Las Vegas, Nevada.  (Photo by Harry How/Getty Images)
Amir Khan, rekodi yake inaonesha kashinda jumla ya Mapambano 31, Mapambano matatu kapigwa na mengine 19 ameshinda kwa knockout.
Here_are_Floyd_Mayweathers_potential-5392547f0c448ee3d8bcb7a6c401b4a6
Karim Mayfield, rekodi yake nae inaonesha ameshinda Mapambano 19, kashindwa Mapambano mawili na Mapambano 11 ameshinda kwa knockout.
LAS VEGAS, NV - DECEMBER 13:  Timothy Bradley Jr. looks on during his welterweight bout against Diego Chaves at The Chelsea at The Cosmopolitan of Las Vegas on December 13, 2014 in Las Vegas, Nevada. The 12-round fight ended in a draw.  (Photo by David Becker/Getty Images)
Timothy Bradley Jr. Jamaa yuko vizuri aisee, ana ushindi wa Mapambano 31, kapigwa pambano moja na jingine moja ni droo.
ONTARIO, CA - MARCH 13: Andre Berto (C) celebrates after knocking out Josesito Lopez in the 6 round of their 12 round welterweight bout at Citizens Business Bank Arena March 13, 2015 in Ontario, California. (Photo by Kevork Djansezian/Getty Images)
Andre Berto. Kwenye list ya  Mabondia ambao wako tayari kupambana na jamaa wakati wowote ule, huyu ana rekodi ya kushinda Mapambano 30, kapigwa kwenye Mapambano matatu na mengine 23 ameshinda kwa knockout.
Here_are_Floyd_Mayweathers_potential-eec00153db23f2417c97b82ca9c6c2b6Anaitwa Shawn Porter, ana ushindi wa Mapambano 26 amepigwa pambano moja tu, katoa droo moja na kushinda knockouts 16.
Wakati utafika na tutajua tu nani atakutana ulingoni na mbabe huyu wa karne, swali ni kwamba atakubali rekodi yake ya ushindi wa mapambano 48 iharibike?
FLOYD II
3

Super Nyamwela karudi Twanga Pepeta, atotoka tena?

 .
Ni headline zilizotawala kwenye upande wa muziki wa bendi kuwa mwimbaji na mnenguaji wa muziki wa densi nchini, Hassan Mussa aka Super Nyamwela kuwa amerudi kwenye bendi yake ya zamani maarufu kama Twanga Pepeta.
Sasa leo July 6, 2015 katika mahojiano na millardayo.com alifunguka na kusema ‘Kiukweli kabisa mapokezi yalikuwa ni makubwa sana kwa watu ambao walikuwa wamefika siku ambayo natambulishwa mimi ukumbi ulikuwa umejaa wengi walikuwa hawaamini kuwa mimi na Choki tumerudi Twanga Pepeta lakini nilivyofika pale na kutoa burudani wengi walivyofurahi kiukweli watu na kuna watu ambapo nilikua sijawaona kama takribani ya miaka sita niliwaona siku hiyo’- Super Nyamwela

.
‘Kwasasa maisha yetu sisi tunaonekana kama vile kwamba wasanii ndio wanakuwa wanaama ama lakini sio sisi tupo kwaajili ya kutengeneza maisha ya familia zetu kwa hiyo ikitokea bendi nyingine siwezi kusema kwamba sitowezi kuhama kwasababu sio nadhili lakini ikitokea bendi ambayo kabisa itanipa maslahi zaidi ya haya na mimi nikaishi na familia yangu vizuri ambavyo ninavyotaka mimi nitakubali kuhama nitaaga  vizuri then mkataba ukiisha nitarudi nyumbani kama kawaida‘- Super Nyamwela
.
.
‘Mimi nilikuwa katika bendi moja itwayo Extra Bongo ambayo Choki alikuwa kama mkurugenzi na mimi nilikuwa kama kiongozi wa bendi kwa hiyo imedumu mimi niliikutia katikati lakini nimeweza kukaa kwenye bendi takribani ya miaka sita
Mimi nilikuwa naomba niwaambie mashabiki kuwa mimi na choki tumerudi rasmi Twanga Pepeta ninahitaji support tu za watanzania katika kazi zetu pia cha kumalizia naomba watanzania wawe na uzalendo wa kuelewa nyimbo za wasanii wa ndani kisha zifuate za nje’- Super Nyamwela
Unaweza uka bonyeza play kumsikiliza Super Nyamwela

3

Ally Nipishe kaipokea zawadi ya gari? maneno yake ni haya kwa Soudy Brown.. #UHeard

ist_R

Staa wa Bongo Fleva Ally Nipishe alisimulia wiki iliyopita kuhusu kisa cha kukamatwa kwake na kuwekwa ndani kwa miezi mitatu baada ya kununua gari ambayo ilikuwa ya wizi.
Soudy Brown leo kamwandalia surprise, dada mmoja kajitolea kumnunulia Ally Nipishe gari ili kumfuta machozi msanii huyo lakini mwenyewe alikataa kabisa kuipokea zawadi hiyo.
Ally Nipishe alishangazwa na surprise hiyo, huyu dada anasema yeye ni shabiki yake tu, kaguswa na matatizo yaliyompata Ally akaona amnunulie gari kumpunguzia machungu ya tatizo ambalo liliwahi kumkuta staa huyo.
U Heard iko hapa, sikiliza ilivyokuwa wakati Ally Nipishe anataka kupewa zawadi hiyo.

3

Chuchu nje nje: Huddah Apost Picha za Aibu Kwenye Instagram!

Huddah Monroe anafahamika kwa maisha yake controversial hivyo si jambo la ajabu kwa followers wake wa Instagram kumuona akila bata kwenye beach za Ulaya huku akiwa na nguo inayoonesha nipples zake! Jionee mwenyewe!


3

Entertainment Pichaz nyingine za video ya ‘Chekecha Cheketua’ ya Ali Kiba kutoka South Africa… #BehindtheScenes


image-26-06-15-06-58-4
Ali Kiba alitumia siku tatu kuzunguka maeneo mbalimbali ndani ya Dar kwa usafiri wa daladala ajili ya kukutana na fans wake na kupiga nao story.. ilikuwa kitu ambacho kilivutia watu wengi kushare usafiri mmoja na staa wa muziki TZ, mmoja wa abiria aliuliza kuhusu ishu ya Ali Kiba kuchelesha video !!
Jibu lake ilikuwa Video ya Chekecha Cheketua imechelewa kwa sababu ya machafuko ya Xenophobia ambayo yalitokea South Africa, wakashindwa kwenda kushoot video.
Ninazo pichaz za Behind the scenes, hii ni dalili kwamba tukae tayari kwa mara nyingine Ali Kiba kuachia kazi hiyo ambayo imefanywa Afrika Kusini.
image-26-06-15-06-58-1
image-26-06-15-06-58-2
image-26-06-15-06-58-3
image-26-06-15-06-58-5
image-26-06-15-06-58-7
image-26-06-15-06-58-8
image-26-06-15-06-58-9
image-26-06-15-06-58-10
image-26-06-15-06-58-11
image-26-06-15-06-58-12
image-26-06-15-06-58-13
image-26-06-15-06-58-15
image-26-06-15-06-58-16
3
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips