Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Kuwa na pesa sio kitu kinachompa furaha Bilionea wa Facebook !! Yako majibu yake hapa..

Kuwa na pesa sio kitu kinachompa furaha Bilionea wa Facebook !! Yako majibu yake hapa..

Zuckernberg
Hakuna mtu hapendi kuwa na furaha mtu wangu, wapo wanaodhani kuwa ili uwe na furaha ni lazima uwe na pesa..  Mark Zuckerberg ni Mwanzilishi na Boss wa Facebook, yeye amesema kitu ambacho kinampa furaha mbali ya kuwa jamaa ni mtu na pesa zake nyingi tu.
“Kwangu furaha ni kufanya kitu kizuri na cha maana ambacho kinasaidia watu… Kuna watu wanachanganya furaha na kufurahia, naamini sio kitu rahisi kufurahia kila siku ila naamini inawezekana kufanya kitu cha muhimu ambacho kinasaidia watu kila siku” >>>  Mark Zuckerberg.
.
Mark Zuckerberg
Mark Zuckerberg amesema amefanikiwa kutokana na kuwa karibu na watu wake mara zote, kuanzia mkewe, washkaji zake wanaofanya wote kazi… anaamini pia hakuna mtu ambaye anaweza kuitengeneza njia ya mafanikio kwa kusimama pekeake, ila uhusiano mzuri na watu wanaomzunguka.
Kwenye tafiti inaonesha Mark Zuckerbe
rg ana utajiri wa kama Bilioni 34.8… kama ulidhani furaha ni pesa basi haiko hivyo kwa  Zuckerberg.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips