Vimeandikwa vingi sana kuhusiana na Staa wa soka wa Real Madrid ya Hispania na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo, kuhusu kuishi maisha ya kifahari Ronaldo kaandikwa sana, kuhusu watu kuhoji mama wa mtoto wake mwenye umri wa miaka 5 Cristiano Ronaldo Junior ni yupi, hiyo ilikuwa headlines kila kona kuhusu staa huyo.
August 14 nakusogezea list ya wasichana ambao Cristiano Ronaldo amewahi kuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi kwa nyakati tofauti lakini hakuna mama wa mtoto wake hapo kwani bado hajulikani, Ronaldo amewahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na wasichana zaidi ya 20 kwa nyakati tofauti hao ni wale aliowahi kuonekana nao public.
1. Jordana Jardel, 20032. Isabel Figueira, 2005
3. Diana Chavez, 2006
4.Merche Romero, 2006
5.Gemma Atkinson, 2007
6.Karina Bacchi, 2007
7.Bipasha Basu, 2007
8.Maria Sharapova, 2007
9.Nikki Ghazian, 2008
10. Letizia Filippi, 2008
11.Mia Judaken, 2008
12. Paris Hilton, 2009
13. Raffaella Fico, 2009
14.Imogen Thomas, 2010
15.Jasmine Lennard, 2010
16. Kim Kardashian, 2010
17. Irina Shayk, 2011
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment