Davido ni mmoja wa wasanii wenye majina makubwa Afrika, tunaendelea kumuona kwenye collabo baada ya collabo.
Dj Exclusive ameamua pia kumshirikisha staa huyo katika Video yake mpya inayoitwa ‘Wo LE’ iliyoandaliwa na mtayarishaji Adasa Cookey.
Itazame hapa mtu wangu….
0 comments:
Post a Comment