WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
Wema Sepetu
» Majibu ya Wema Sepetu kwa waliosema siasa imeingiliwa baada ya yeye kutangaza nia, pia aliyeigiza sauti yake.
Majibu ya Wema Sepetu kwa waliosema siasa imeingiliwa baada ya yeye kutangaza nia, pia aliyeigiza sauti yake.
Mwigizaji Wema Sepetu alifanya Interview na mtangazaji Millard Ayo
kuhusu ishu kadhaa zinazohusu kutangaza kwake kuingia kwenye siasa
ambako anagombea viti maalum ambapo amejibu comments za watu waliombeza
kwa kusema siasa imevamiwa, nafasi ya juu ya Uongozi aliyowahi kuitamani, aliyeigilizia sauti yake na mengine bonyeza play hapa chini.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment