Akiongea kwenye kipindi cha AMPLIFAYA july 8, 2015
‘Mimi chama changu ni chama cha mapinduzi chama tawala chama ambacho
ndicho nilikuwa nacho miaka yote chama ambacho mama yangu ameniambia
ndio chama change kabla sijawa mwana siasa matatizo ni mambo ya kawaida
kama na hivi ni vyama vingine ni changamoto tu’ – Mzee Yusuph
‘Kama sisi
kwenye taarabu utakuta mwanamuziki huyo lazima amponde msanii mwenzake
au ana msema uzuri au ana mfurahia kwa hiyo hata huku kwenye siasa hivyo
vitu vipo si kila aliyekuwa CCM ana matatizo bali mtu mwenyewe ndio ana
matatizo binafsi chama kinachotawala Zanzibar ni CCM CUF ni wapinzani
siogopi hilo na kwasababu CCM imetawala CCM ni namba moja pale sasa ni
chachu kuifanya na CCM iwe na wafuasi zaidi pengine nitakuwa na watu
ambao wakusaidia chama kile na maendeleo zaidi’– Mzee Yusuph
Unaweza uka bonyeza play kumsikiliza Mzee Yusuph
0 comments:
Post a Comment