Mkali wa bongo fleva Alikina May 12 jina lake limegonga tena headlines baada ya wimbo wake mpya ‘Aje’ kuvuja lakini habari zinaeleza kuwa video ya wimbo huo mpya wa Alikiba aliomshirikisha rapper kutoka Nigeria M.I utaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza MTV Base Ijumaa ya May 13 2016 ila audio yake imesambaa mitandaoni kwa maana ya kuvuja unaweza kuisikiliza hapa mtu wangu.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Alikiba ft M.I kutoka Nigeria ‘Aje’
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment