Mshindi wa KTMA mwimbaji staa wa RNB Tanzania Ben Pol
katuletea kichupa kingine kipya time hii alichokifanya Afrika Kusini na
single yenyewe ni ‘moyo mashine’ ukishaitazama usiache kutuachia
comment yako hapa na Ben Pol mwenyewe atapita hapa kujua watu wake wameipokeaje.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment