Anaitwa Godfrey Magila, yeye na vijana wenzake ambao hawajafikisha hata umri wa miaka 25 walipata wazo la kutengeneza App itakayomuwezesha Mteja yeyote wa kampuni ya simu ya Tigo
kulinda kila kitu kilichomo kwenye simu yake hata ikiibiwa na anaweza
kumuona aliyemuibia….. mtazame kwenye hii video hapa chini.
Home »
HABARI
,
Tigo
» VIDEO: Kijana Mtanzania aliyelamba dili nono Tigo baada ya kuwaonyesha jinsi mteja anavyoweza kuiona simu yake hata ikiibiwa.
VIDEO: Kijana Mtanzania aliyelamba dili nono Tigo baada ya kuwaonyesha jinsi mteja anavyoweza kuiona simu yake hata ikiibiwa.
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment