Mapacha wa kundi la P-Square, Peter na Paul Okoye jana walinusurika na ajali ya gari baada ya kugongwa na lori.
Wawili hao walikuwa kwenye gari aina ya Range Rover.
Kupitia Instagram, Peter alipost picha ya gari ya iliyoyobondeka na kuandika:
Fans pls help us thank God. Myself @rudeboypsquare @papiijameh and our assistant manager @wandoskie had an accident early hours of today on our way back from a show in ibadan. Along lagos ibadan express road. A Lorry hit and dragged us for over 12 seconds. But Our Lord and Our God is always faithful and quick to show Mercy. Thank God we survived, #ThankYouLord
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment