Sauti Sol wanatualika tena kwenye hii Video ya ngoma yao mpya ya ‘Tulale Fofofo’ waliofanya na Mi casa kutokea South Africa, Mtu wangu wa nguvu baada ya kuangalia video hii mpya ya Sauti Sol unaweza ukaniachia comment yako na wakali hawa wataiona hapa.
Unaweza ukaitama hapa chini nimekuwekea WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment